Back to Languages

Swahili - Chapter 14 - Ibrahim

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 34 — Surah Ibrahim 14:34

Na akakupeni kila mlicho muomba. Na mkihisabu neema za Mwenyezi Mungu hamwezi kuzidhibiti. Hakika mwanaadamu ni dhaalimu mkubwa, mwenye kuzikufuru neema