Back to Languages

Swahili - Chapter 14 - Ibrahim

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 4 — Surah Ibrahim 14:4

Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Mwenyezi Mungu humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima