Back to Languages

Swahili - Chapter 14 - Ibrahim

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 52 — Surah Ibrahim 14:52

Hili ni Tangazo liwafikie watu, liwaonye, na wapate kujua kuwa hakika Yeye ni Mungu Mmoja, na wapate kukumbuka wenye akili