Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 22 - Al-Hajj
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 39 — Surah Al-Hajj 22:39
Wameruhusiwa kupigana wale wanao pigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia