Back to Languages

Swahili - Chapter 22 - Al-Hajj

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 46 — Surah Al-Hajj 22:46

Je! Hawatembei katika ardhi ili wapate kuwa na nyoyo zao za kuzingatia, au masikio ya kusikilia? Kwani hakika si macho yanayo pofuka, lakini zinazo pofuka ni nyoyo ziliomo vifuani