Back to Languages

Swahili - Chapter 22 - Al-Hajj

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 56 — Surah Al-Hajj 22:56

Ufalme wote siku hiyo utakuwa wa Mwenyezi Mungu. Atahukumu baina yao. Basi walio amini na wakatenda mema watakuwa katika Bustani zenye neema