Back to Languages

Swahili - Chapter 22 - Al-Hajj

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 71 — Surah Al-Hajj 22:71

Na wanaabudu badala ya Mwenyezi Mungu ambavyo hakuviteremshia ushahidi, na ambavyo hawana ujuzi navyo. Na madhaalimu hawatakuwa na wa kuwasaidia