Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 3 - Al-Imran
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 105 — Surah Al-Imran 3:105
Wala msiwe kama wale walio farikiana na kukhitalifiana baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi. Na hao ndio watakao kuwa na adhabu kubwa