Back to Languages

Swahili - Chapter 30 - Ar-Rum

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 37 — Surah Ar-Rum 30:37

Kwani hawaoni kwamba Mwenyezi Mungu humkunjulia riziki amtakaye na humdhikisha amtakaye? Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao amini