Back to Languages

Swahili - Chapter 30 - Ar-Rum

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 40 — Surah Ar-Rum 30:40

Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni, kisha akakuruzukuni, kisha anakufisheni, na kisha anakufufueni. Je! Yupo yeyote katika hao mnao washirikisha na Mwenyezi Mungu afanyae lolote katika hayo? Yeye ametakasika, na ametukuka na hayo mnayo mshirikisha naye