Back to Languages

Swahili - Chapter 30 - Ar-Rum

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 60 — Surah Ar-Rum 30:60

Basi subiri. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya haki. Wala wasikupaparishe hao wasio kuwa na yakini