Back to Languages

Swahili - Chapter 32 - As-Sajdah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 12 — Surah As-Sajdah 32:12

Na ungeli waona wakosefu wanvyo inamisha vichwa vyao mbele ya Mola wao Mlezi, (wakisema): Mola wetu Mlezi! Tumesha ona, na tumesha sikia. Turejeshe tukatende mema, kwani hakika sisi tumekwisha kuwa na yakini sasa