Back to Languages

Swahili - Chapter 32 - As-Sajdah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 13 — Surah As-Sajdah 32:13

Na lau tungeli taka tunge mpa kila mtu uwongofu wake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyo toka kwangu: Kwa yakini nitaijaza Jahannamu kwa wote hawa, majini na watu