Back to Languages

Swahili - Chapter 32 - As-Sajdah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 20 — Surah As-Sajdah 32:20

Na ama wale walio tenda uovu, basi makaazi yao ni Motoni. Kila wakitaka kutoka humo watarudishwa humo humo. Na wataambiwa: Onjeni adhabu ya Moto ambayo mliyo kuwa mkiikanusha