Back to Languages

Swahili - Chapter 32 - As-Sajdah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 5 — Surah As-Sajdah 32:5

Anapitisha mambo yote yalio baina mbingu na ardhi, kisha yanapanda kwake kwa siku ambayo kipimo chake ni miaka elfu kwa mnavyo hisabu nyinyi