Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 33 - Al-Ahzab
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 1 — Surah Al-Ahzab 33:1
Ewe Nabii! Mche Mwenyezi Mungu wala usiwat'ii makafiri na wanaafiki. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima