Back to Languages

Swahili - Chapter 33 - Al-Ahzab

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 23 — Surah Al-Ahzab 33:23

Miongoni mwa Waumini wapo watu walio timiza waliyo ahidiana na Mwenyezi Mungu. Baadhi yao wamekwisha kufa, na baadhi wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo