Back to Languages

Swahili - Chapter 33 - Al-Ahzab

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 48 — Surah Al-Ahzab 33:48

Wala usiwat'ii makafiri na wanaafiki, na usijali udhia wao. Nawe mtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mtegemewa