Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 33 - Al-Ahzab
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 62 — Surah Al-Ahzab 33:62
Hii ni ada ya Mwenyezi Mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita zamani. Wala hutapata mabadiliko katika ada ya Mwenyezi Mungu