Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 33 - Al-Ahzab
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 8 — Surah Al-Ahzab 33:8
Ili (Mwenyezi Mungu) awaulize wakweli juu ya ukweli wao. Na amewaandalia makafiri adhabu chungu