Al-Quran
Multilingual
Download Book
Home
Lunar Calendar
Blog
About
Donate
English
Download Now
Home
/
Books
/
Swahili
/
Surah An-Nisa (4)
/
Verse 154
Back to Languages
Swahili - Chapter 4 - An-Nisa
Translation by Ali Muhsin Al Barwani —
Permalink
Previous Chapter
Next Chapter
English
Arabic
Urdu
Hindi
Tamil
Bengali
Verse 154
— Surah An-Nisa 4:154
Na tukanyanyua mlima juu yao kwa kufanya agano nao. Na tukawaambia: Ingilieni mlangoni kwa unyenyekevu. Na tukawaambia: Msiivunje Siku ya Sabato (Jumaa mosi). Na tukachukua kwao ahadi iliyo madhubuti
View verse 4:154 page →
·
Raw JSON