Back to Languages

Swahili - Chapter 40 - Ghafir

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 12 — Surah Ghafir 40:12

Hayo ni hivyo kwa sababu mlikuwa akiombwa Mwenyezi Mungu peke yake mnakataa. Na akishirikishwa mnaamini. Basi hukumu ni ya Mwenyezi Mungu Mtukufu Mkuu