Back to Languages

Swahili - Chapter 40 - Ghafir

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 25 — Surah Ghafir 40:25

Basi alipo waletea Haki inayo toka kwetu, walisema: Waueni watoto wanaume wa wale walio muamini na wawacheni hai wanawake wao. Na haviwi vitimbi vya makafiri ila katika upotovu