Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 40 - Ghafir
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 45 — Surah Ghafir 40:45
Basi Mwenyezi Mungu akamlinda na ubaya wa hila walizo zifanya. Na adhabu mbaya itawazunguka watu wa Firauni