Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 40 - Ghafir
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 51 — Surah Ghafir 40:51
Hakika bila ya shaka Sisi tunawanusuru Mitume wetu na walio amini katika uhai wa duniani na siku watapo simama Mashahidi