Back to Languages

Swahili - Chapter 40 - Ghafir

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 76 — Surah Ghafir 40:76

Ingieni kwenye milango ya Jahannamu, mdumu humo milele. Basi ni maovu yaliyoje makaazi ya wanao takabari