Back to Languages

Swahili - Chapter 41 - Fussilat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 11 — Surah Fussilat 41:11

Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu