Back to Languages

Swahili - Chapter 41 - Fussilat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 12 — Surah Fussilat 41:12

Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha Mwenyezi Mungu Mwenye Kujua