Back to Languages

Swahili - Chapter 41 - Fussilat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 30 — Surah Fussilat 41:30

Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Kisha wakanyooka sawa, hao huwateremkia Malaika wakawaambia: Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa