Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 41 - Fussilat
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 33 — Surah Fussilat 41:33
Na ni nani mbora wa kusema kuliko aitaye kwa Mwenyezi Mungu na akatenda mema, na akasema: Hakika mimi ni katika Waislamu