Back to Languages

Swahili - Chapter 41 - Fussilat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 4 — Surah Fussilat 41:4

Kitoacho khabari njema, na chenye kuonya. Lakini wengi katika wao wamepuuza; kwa hivyo hawasikii