Back to Languages

Swahili - Chapter 41 - Fussilat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 6 — Surah Fussilat 41:6

Sema: Hakika mimi ni mtu kama nyinyi; inafunuliwa kwangu ya kwamba Mungu wenu ni Mungu Mmoja tu. Basi nyookeni sawa kumwendea Yeye, na mumtake msamaha, na ole wao wanao mshirikisha