Back to Languages

Swahili - Chapter 45 - Al-Jathiyah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 26 — Surah Al-Jathiyah 45:26

Sema: Mwenyezi Mungu anakuhuisheni, kisha anakufisheni, kisha anakukusanyeni Siku ya Kiyama isiyo na shaka. Lakini watu wengi hawajui