Back to Languages

Swahili - Chapter 45 - Al-Jathiyah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 27 — Surah Al-Jathiyah 45:27

Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Na siku itapo simama Saa ya Kiyama, siku hiyo wataangamia wenye kushikamana na upotovu