Back to Languages

Swahili - Chapter 45 - Al-Jathiyah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 28 — Surah Al-Jathiyah 45:28

Na utauona kila umma umepiga magoti, na kila umma utaitwa kwenda soma kitabu chake: Leo mtalipwa mliyo kuwa mkiyatenda