Back to Languages

Swahili - Chapter 45 - Al-Jathiyah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 5 — Surah Al-Jathiyah 45:5

Na kupishana usiku na mchana, na riziki anayo iteremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwayo akaifufua ardhi baada ya kufa kwake, na mabadiliko ya upepo, ni Ishara kwa watu wenye akili