Back to Languages

Swahili - Chapter 49 - Al-Hujurat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 11 — Surah Al-Hujurat 49:11

Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu