Back to Languages

Swahili - Chapter 49 - Al-Hujurat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 14 — Surah Al-Hujurat 49:14

Mabedui wamesema: Tumeamini. Sema: Hamjaamini, lakini semeni: Tumesilimu. Kwani Imani haijaingia katika nyoyo zenu. Na mkimt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hatakupunguzieni chochote katika vitendo vyenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu