Back to Languages

Swahili - Chapter 49 - Al-Hujurat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 15 — Surah Al-Hujurat 49:15

Hakika Waumini ni wale walio muamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake tena wasitie shaka kabisa, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao. Hao ndio wakweli