Back to Languages

Swahili - Chapter 49 - Al-Hujurat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 7 — Surah Al-Hujurat 49:7

Na jueni kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu yuko nanyi. Lau angeli kut'iini katika mambo mengi, bila ya shaka mngeli taabika. Lakini Mwenyezi Mungu amekupendezeeni Imani, na akaipamba katika nyoyo zenu, na amekufanyeni muuchukie ukafiri, na upotovu, na uasi. Hao ndio walio ongoka