Back to Languages

Swahili - Chapter 5 - Al-Maidah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 113 — Surah Al-Maidah 5:113

Wakasema: Tunataka kukila chakula hicho, na nyoyo zetu zitue, na tujue kwamba umetuambia kweli, na tuwe miongoni mwa wanao shuhudia