Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 5 - Al-Maidah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 35 — Surah Al-Maidah 5:35
Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na tafuteni njia ya kumfikilia. Na wanieni kwa juhudi kwa ajili yake ili mpate kuokoka