Back to Languages

Swahili - Chapter 5 - Al-Maidah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 75 — Surah Al-Maidah 5:75

Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa