Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 5 - Al-Maidah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 79 — Surah Al-Maidah 5:79
Walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu yalioje mambo waliyo kuwa wakiyafanya