Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 5 - Al-Maidah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 98 — Surah Al-Maidah 5:98
Jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira, na Mwenye kurehemu