Back to Languages

Swahili - Chapter 57 - Al-Hadid

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 12 — Surah Al-Hadid 57:12

Siku utakapo waona Waumini wanaume na Waumini wanawake, nuru yao iko mbele yao, na kuliani kwao: Furaha yenu leo - Bustani zipitazo mito kati yake mtakaa humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa