Back to Languages

Swahili - Chapter 57 - Al-Hadid

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 22 — Surah Al-Hadid 57:22

Hautokei msiba katika ardhi wala katika nafsi zenu ila umekwisha andikwa katika Kitabu kabla hatujauumba. Hakika hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi