Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 57 - Al-Hadid
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 24 — Surah Al-Hadid 57:24
Ambao wanafanya ubakhili, na wanaamrisha watu wafanye ubakhili. Na anaye geuka, basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujitosha, Msifiwa