Back to Languages

Swahili - Chapter 57 - Al-Hadid

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 26 — Surah Al-Hadid 57:26

Na bila ya shaka tulimtuma Nuhu na Ibrahim, na tukaweka katika dhuriya zao Unabii na Kitabu. Basi wapo miongoni mwao walio ongoka, na wengi katika wao ni wapotovu