Back to Languages

Swahili - Chapter 57 - Al-Hadid

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 8 — Surah Al-Hadid 57:8

Na mna nini hata hamumuamini Mwenyezi Mungu na hali Mtume anakuiteni mumuamini Mola wenu Mlezi? Naye amekwisha chukua ahadi yenu, ikiwa nyinyi ni Waumini